Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Visiwa vya Mariana ya Kaskazini - Wikipedia

Visiwa vya Mariana ya Kaskazini

Kutoka Wikipedia

Commonwealth of the Northern Mariana Islands
Sankattan Siha Na Islas Mariånas
Flag of Visiwa vya Mariana ya Kaskazini Nembo ya Visiwa vya Mariana ya Kaskazini
Bendera Nembo
Wito la taifa:
Wimbo wa taifa: Gi Talo Gi Halom Tase (Kichamoru)
Satil Matawal Pacifico (Kikarolini)
Lokeshen ya Visiwa vya Mariana ya Kaskazini
Mji mkuu Saipan
15°15′ N 145°45′ E
Mji mkubwa nchini
Lugha rasmi Kiingereza , Kichamoru, Kikarolini
Serikali
Mkuu wa Dola
Gavana
Serikali ya kiraisi Demokrasia
George W. Bush
Benigno R. Fitial
Eneo la ng'ambo la Marekani
Mkataba

1975
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
477 km² (ya 195)
‘‘(kidogo sana)’’
Idadi ya watu
 - Julai 2005 kadirio
 - Msongamano wa watu
 
80,801 (ya 198)
168/km² (--)
Fedha US Dollar (USD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC+10)
(UTC)
Intaneti TLD .mp
Kodi ya simu +1 670

Visiwa vya Mariana ya Kaskazini ni eneo la ng'ambo la Marekani linalojitawala katika Pasifiki ya magharibi kusini ya Japani. Visiwa 16 vyenye eneo la 463 km³ jumla ni sehemu ya funguvisiwa ya Mariana na vikubwa ni Saipan, Tinian na Rota. Sehemu ya kusini ya funguvisiwa ni Guam ambayo pia ni eneo la ng'ambo la Marekani.

Idadi ya wakazi imefikia 80,362 (2005). Uchumi ni hasa utalii.

[hariri] Historia

Wakazi wa kwanza wanaojulikana ni Wachamoru ambao Tangu 1667 visiwa vilikuwa kolonia ya Hispania. Baada ya vita ya Marekani dhidi Hispania kusini ya Mariana ikatwaliwa na Marekani. Kaskazini ikauzwa kwa Ujerumani. Baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia koloni za Ujerumani ziligawiwa kwa nchi mbalimbali na Mariana ya Kaskazini ziliwekwa chini ya utawala wa Japani. Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia visiwa vikawa sehemu ya eneo lindwa la Pasifiki lililotawaliwa na Marekani. 1978 visiwa vikapata madarka ya kujitawala kwa ushirikiano na Marekani. Guam ambapo kuna kituo muhimu cha kijeshi inaendelea kuwa kama koloni ya Marekani.


Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Visiwa vya Mariana ya Kaskazini" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Visiwa vya Mariana ya Kaskazini kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


Majimbo na maeneo ya Marekani
Majimbo ya Marekani
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • DelawareFloridaGeorgiaHawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • MontanaNebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New MexicoNew YorkNorth Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • VirginiaWashingtonWest Virginia • Wisconsin • Wyoming
Mkoa wa Mji Mkuu
Mkoa wa Columbia (Washington D.C.)
Visiwa vya ng'ambo
Katika Pasifiki: Samoa ya MarekaniVisiwa vya Mariana ya KaskaziniGuamKatika Karibi: Puerto RicoVisiwa vya Virgin vya MarekaniVisiwa vidogo sana vya Pasifiki: • Kisiwa cha Howland • Kisiwa cha Jarvis • Atolli ya Johnston • Kingman Reef • Atolli ya Midway • Kisiwa cha Baker • Atolli ya Palmyra • Kisiwa cha Wake • Kisiwa kidogo cha Karibi: Kisiwa cha Navassa


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -