South Carolina
Kutoka Wikipedia
South Carolina (Karolina ya Kusini) ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kusini-mashariki ya Marekani bara. Imepakana na North Carolina, Georgia na Bahari ya Atlantiki.
Mji mkuu pia mji mkubwa wa jimbo ni Columbia. Kati ya miji mingine yenye maana ni Charleston, Greenville, Spartanburg, Anderson, Sumter, and Florence.
South Carolina ilikuwa koloni ya Uingereza tangu 1729 na pia moja kati ya koloni 13 zilizoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda nchi mpya ya Marekani tangu 1778.
Majimbo na maeneo ya Marekani |
---|
Majimbo ya Marekani |
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Mkoa wa Mji Mkuu |
|
Visiwa vya ng'ambo |
Katika Pasifiki: Samoa ya Marekani • Visiwa vya Mariana ya Kaskazini • Guam • Katika Karibi: Puerto Rico • Visiwa vya Virgin vya Marekani • Visiwa vidogo sana vya Pasifiki: • Kisiwa cha Howland • Kisiwa cha Jarvis • Atolli ya Johnston • Kingman Reef • Atolli ya Midway • Kisiwa cha Baker • Atolli ya Palmyra • Kisiwa cha Wake • Kisiwa kidogo cha Karibi: Kisiwa cha Navassa |