North Carolina
Kutoka Wikipedia
North Carolina (Karolina ya Kaskazini) ni jimbo la kujitawala la Marekani kwenye mwambao wa Atlantiki. Mji mkuu ni Raleigh na mji mkubwa ni Charlotte.
North Carolina ilikuwa kati ya majimbo 13 yaliyoasi dhidi ya Uingereza mwaka 1776 na kuunda Maungano ya Madola ya Amerika tangu 1789.
Imepakana na South Carolina, Georgia, Tennessee, Virginia na Bahari ya Atlantiki.
Jina limetokana na koloni ya Uingereza lililotolewa jina kwa heshima ya mfalme Charles II wa Uingereza. Kwa Kilatini "Charles ni "Carolus" au Karolo).
Majimbo na maeneo ya Marekani |
---|
Majimbo ya Marekani |
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Mkoa wa Mji Mkuu |
|
Visiwa vya ng'ambo |
Katika Pasifiki: Samoa ya Marekani • Visiwa vya Mariana ya Kaskazini • Guam • Katika Karibi: Puerto Rico • Visiwa vya Virgin vya Marekani • Visiwa vidogo sana vya Pasifiki: • Kisiwa cha Howland • Kisiwa cha Jarvis • Atolli ya Johnston • Kingman Reef • Atolli ya Midway • Kisiwa cha Baker • Atolli ya Palmyra • Kisiwa cha Wake • Kisiwa kidogo cha Karibi: Kisiwa cha Navassa |