California
Kutoka Wikipedia
California (pia: Kalifornia) ni jimbo la Marekani upande wa magharibi-kusini ya nchi. Iko kwenye pwani la Pasifiki ikipakana na Meksiko. Mji mkuu ni Sacramento.
Gavana amekuwa tangu 2003 mwigizaji Arnold Schwarzenegger.
California ni kati ya majimbo ya Marekani yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi. Kama California ingekuwa nchi huru ya kujitegemea uchumi wake ungekuwa na nafasi ya 8 duniani.
Los Angeles hasa eneo la Hollywood ni kitovu cha kupiga picha za filamu. Utalii, kilimo na viwanda vya ndege huajiri watu wengi. Makampuni ya kompyuta yamestawi vizuri sana California kwa mfano Microsoft.
largest in the world,[3] and it would be
Kuna miji 59 yenye wakazi zaidi ya lakhi moja:
Mji | Wakazi | |
1 | Los Angeles | 3.957.875 |
2 | San Diego | 1.305.736 |
3 | San Jose | 944.857 |
4 | San Francisco | 799.263 |
5 | Long Beach | 491.564 |
6 | Fresno | 464.727 |
7 | Sacramento | 452.959 |
8 | Oakland | 412.318 |
9 | Santa Ana | 351.697 |
10 | Anaheim | 345.317 |
Majimbo na maeneo ya Marekani |
---|
Majimbo ya Marekani |
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Mkoa wa Mji Mkuu |
|
Visiwa vya ng'ambo |
Katika Pasifiki: Samoa ya Marekani • Visiwa vya Mariana ya Kaskazini • Guam • Katika Karibi: Puerto Rico • Visiwa vya Virgin vya Marekani • Visiwa vidogo sana vya Pasifiki: • Kisiwa cha Howland • Kisiwa cha Jarvis • Atolli ya Johnston • Kingman Reef • Atolli ya Midway • Kisiwa cha Baker • Atolli ya Palmyra • Kisiwa cha Wake • Kisiwa kidogo cha Karibi: Kisiwa cha Navassa |