Samoa ya Marekani
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "Samoa, Muamua Le Atua" (Kisamoa) "Samoa, Mungu awe mwanzo" |
|||||
Wimbo wa taifa: | |||||
Mji mkuu | Pago Pago |
||||
Mji mkubwa nchini | |||||
Lugha rasmi | Kiingereza, Kisamoa | ||||
Serikali
Mkuu wa Dola
Gavana |
George W. Bush Togiola Tulafono |
||||
Eneo la ng'ambo la Marekani Mkataba wa Berlin wa 1899 Mkataba wa kukabidhi Tutila Mkataba wa kukabidhi Manu'a |
1899 1900 1904 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
199 km² (ya 212) 0 |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
64,869 (ya 204) 57,291 353/km² (ya 33) |
||||
Fedha | US Dollar (USD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-11) not observed (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .as | ||||
Kodi ya simu | +1 684 |
Samoa ya Marekani (Kisamoa: Amerika Samoa au Samoa Amelika) ni Eneo la ng'ambo la Marekani katika Pasifiki upande wa kusini wa nchi ya Samoa. Kuna wakazi 57,291 na eneo la nchi kavu ni 200 km².
Eeno lake ni sehemu ya funguvisiwa ya Samoa. Kutokea kwa eneo la pekee kulisababishwa na ukoloni wa karne ya 19 ambako Ujerumani na Marekani zilishindana juu ya visiwa hivi. Funguvisiwa iligawiwa kwa mkataba wa Berlin wa 1899. Sehemu ya mashariki ikawa upande wa marekani na sehemu ya magharibi upande wa Ujerumani.
Kwa katiba ya 1967 Samoa ya Marekani ikapewa madaraka ya kujitawala.