Ngano
Kutoka Wikipedia
Ngano (Triticum L.) |
||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Ngano
|
||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Ngano ni mmea wa familia ya manyasi katika ngeli ya monokotiledoni. Mbegu za ngano ni nafaka ambayo ni chakula muhimu katika sehemu nyingi za dunia hasa kwenye kanda zisizo na joto au baridi kali.
Ngano ni kati ya nafaka muhimu zaidi zinazoliwa na watu pamoja na mhindi na mpunga. Ngano hutumiwa hasa kwa kuisaga kuwa unga. Unga wa ngano hutumiwa kwa mkate, chapati na pasta.
Makala hiyo kuhusu "Ngano" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Ngano kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |