Chapati
Kutoka Wikipedia
Chapati ni chakula muhimu nchini Tanzania pia Kenya, ni kama mkate mbapa unaookwa bila mafuta. Kwa asili chapati zimetoka Uhindi zikaletwa na wafanyakazi Wahindi waliojenga reli ya Uganda.
Chapati hutengenezwa kwa kawaida kwa kutumia unga wa ngano.
Makala hiyo kuhusu "Chapati" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Chapati kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |