Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Kemia - Wikipedia

Kemia

Kutoka Wikipedia

Kemia (jina limetoka kwa alkemia) ni sayansi ya radhi kwa kiwango cha atomi. Kemia yahusu tabia ya elementi na viungo vya atomi, ni masomo ya kujua mbadiliko wa radhi na uhusiano wa radhi na miradhi tafauti, na pia uhusika wa Bidii. Kwa msingi kemia ni masomo ya atomi na mkusanyo wa atomi kwa molekyuli, bilauli ama madini ambazo za jenga radhi za kawaida. Kulingana na kemia ya kisasa ni ujenzi wa radhi kwa kiwango cha atoma.

Yaliyomo

[hariri] Maanzilisho

Maabara, kwa chuo cha Biokemia, chuo cha Cologne, Ujerumani
Maabara, kwa chuo cha Biokemia, chuo cha Cologne, Ujerumani

Kemia wakati mwengine ya semekana kama masomo ya sayansi ya kati, kwa sababu ya unganisha sayansi zingine pamoja, fiziki, biolojia ama jeologia. Kemia ina matawi mengi yaliyo maalum kwa masomo na watalaam wa matawi hayo, umahususi huu wa kemia, kwa mfano waruhusu utengenezaji wa vitu vipya, kuotesha au uendelezaji wa madawa ili kutibu magonjwa, na kutambua umekanika wa harakati za maisha.

Moja ya jawabu kwa kemia ni ati radhi imehusika. Kwa kemia radhi ya weza kuhusika na radhi nyingine, ama, ihusike radhi na harakati za bidii. Uhusiano ambao unajulikana zaidi ni uhusiano wa kiini ama viini na viini vingine kwa jawabu ya kemikali ambapo kiini kimoja au viini za penduliwa kwa ainanyingine. Hii ya husu mnururishi wa samaku (kama kwa nuru ya kemia) Ambapo jawabu ya kemikali ya tokea kwa sababu ya papo ya nuru. Jawabu za kemikali ni masomo mengine ya tawi ya kemia mbapo ya stadi radhi kwa mifano mingine. Kemikali ya Kispektroskopi kwa mfano wa stadi uhusiano wa nuru na radhi, bila jawabu lolote kutokea.

Wana sayansi ambao wa dumisha sayansi waitwa wana kemia. Kulingana na wana kemia radhi zote vina viungo vya atomi or ama radhi ndogo zaidi zinazounda atomi. Atomi za weza kuungana na kutoa radhi kubwa kama ioni, molekyuli ama bilauli. Mjengo wa Dunia ambao tumeuzoea na mitambo ya radhi tumezoea za hakikishwa na jawabu ya viini vya kemikali na uhusiano wa jawabu hizi. Chuma cha pua ni chuma ngumu kwa sababu atomi zake zimeshikana pamoja kwa mshono wa bilauli. Mbao huchomeka kwa sababu ya jawabu pesi yaoksijeni kwa jawabu za kemikali kwa kiwango fulani ya Joto. Maji ni kimiminiko kwa Joto inayodumisha maisha kwa sababu, molekyuli za maji za songa zaidi kuliko kwa mango ya barafu, lakini kidogo kwa uvuke. Binadamu au mnyama yeyote yuaweza kuona kwa sababu ya uhusiano wa nuru na molekyuli za unyama nyuma ya macho.

Kwa hii eneo kubwa ya masomo, nivigumu sana kuhekima kila stadi kwa kemia na kuhtasari stadi yote kwa jumla. Hata kwa wataalamu zaidi wa kemia, wengi ujuzi wao umetia maanani kwa stadi kadhaa walizo tia maanani zaidi kwa masomo yao. Kemia ina tawi nyingi sana, zinazoitwa tawi za kemia, ambazo wanakemia watia makini. Kemia ambao hufunzwa kwa shule ya upili na miaka ya kwanza ya chuo kuu, yenyewe huitwa kemia ya msingi ambayo huwapa wanafunzi masomo ya kemia kwa msingi ili kuimarisha masomo pana ya kemia, kulingana na tawi yeyote ya kemia mwana funzi atakayofuata. Kwa kemia ya msingi, stadi yenyewe haimalizii kwa utaalam lakini Wataalam wengi utumia masomo haya ya msingi wa kemia kueleza kazi yao kwa sababu jibu lenyewe ni ngumu zaidi kueleza kwa ujuzi ama jibu lenyewe ni laghai.

Sayansi ya Kemia ni maedeleo ya kisasa kulingana na historia, lakini mizizi yake nikutokana na alkemia mbayo ilikua desturi kwa milenia dunia mzima. Jina la kemia ni kutoka alkemia; lakini, etimologia ya alkemia haijavumbuka zaidi (ona alkemia).

[hariri] Histori ya Kemia

Jina al-kemia ya toka Kiarabu al-kīmiyaˀ au al-khīmiyaˀ (الكيمياء or الخيمياء), nao Wagiriki kupata jina hii al- na Kigiriki chumeia (χημεία) ambayo la maanisha "kuunganisha pamoja", "kumwaga pamoja", "kuchomelea", "aloi ya chuma", na kadhalika.

Msingi wa kemia waezatokana na kuchoma. Moto ulikua nguvu ya kiwazo mbayo iligeuza vitu kutoka ainamoja hadi nyingine, na hiyo dio ilileta shauku ya binadamu. Ni moto ulioleta ufumbuzi wa chuma na glass. baada ya Migodi kugunduliwa na kuwa madini ya mali, Watu wengi walitamani kugundua jia ya kupendua madini mengine kua migodi. Hii ilileta sayansi ya kujaribu ambayo iliitwa Alkemia. Wana-alkemia waligundua taratibu ainanyingi za kemikali ambazo zilileta maendeleo ya Kemia ya kisasa. Kemia kama vile twaijua leo iligunduliwa na Antoine Lavoisier ambaye alile sheria ya kuhifathi uzito mwaka wa 1783. Ugunduzi wa radhi za Kemikali ina historia ndefu ya uedelezaji wa jedwali iliopagwa kwa ufumbuzi wa Dmitri Mendeleev. Tuzo ya Nobel ya Kemia ilioanzwa mwaka wa 1901, ina historia jema kuhusu ufumpuzi wa kemia miaka 100 iliopita.

[hariri] Utabiri wa Kemikali

Utabiri wa kemikali ni utabiri unaoweza kuelezwa na kemia na unahusu viungo na bidii. Utabiri wa kemikali unahusika na mapenduzi ya tabia ya viini panapotokea majawabu ya kemikali. Moto nimojawapo ya utabiri uliowa kushangaza zaidi. Wanakemia wao hujaribu kutabiri mambo yote kuhusu Tabiri za kemikali zinazojulikana, na kugundua tabiri ambazo zijajulicana na kuziweka kwa kundi ya jedwali kulingana na tabia ya viini vya kemikali. Mfano, Viini ambavyo zaitikia jawabu ya oksijeni, ilikutoa majibu kwa aina ya viini vingine, husemekana kwamba zime oksijeniwa; hata hivyo kundi ya kemikali za kali ama alkali za weza jawabu na kutuliza athari, utabiri ambao wajulikana kama utulizaji wa athari za kemikali. Viini vinaweza kua pia dhoofu ama ziendelee kujiunda kutoka viini vingine kwanjia ya jawabu aina nyingi. Jawabu za kemikali zinahusika na mapenduzi au uhifadhi wa bidii, utabiri huu wasomwa kwa stadi ya kemia inayoitwa, Kemikali ya SiyaraJoto/ kemia ya athari-joto. Napia, viini vingine hutoa nuru bila kuashwa moto, utabiri huu waitwa,fosfati nuru.

[hariri] Matawi ya Kemia

Maabara kikasha
Maabara kikasha

Kemia imegawa kwa tawi kadhaa kuu. Kuna pia tawi zingine zakitaalam ambazo zinahusika na kemia.

  • Kemia ya Uchambuzi ni Uchambuzi wa vifaa, ili kuelewa Viini vya kemikali na ujenzi. Kemia ya Uchambuzi ya husu majaribio mbinu ilkanun za kemia. Hzi mbinu za weza kutumika kwa Kemia aina yeyote, lakini si kwa Kemia fasihi ya nadhari.
  • Biokemia ni stadi ya Kemikali, jawabu za kemikali na uhusiano unaofanyika kwa vitu vilivyo hai vijumba. Biokemia na kemia ya mahuluku zi karibu na Kemia ya madawa.
  • Kemia Si Mahuluku ni stadi ya tabia na jawabu za viungo vya kemikali mbazo siyo mahuluku. Tafauti ya kemia mahuluku na si mahuluku haijategwa zaidi makusudi, bado kuna mlinganisho hapa napale hasa kwa tawi ya Kemia ya mahuluku madini.
  • Kemia ya mahuluku ni stadi ya muundo, tabia, viungo, umekaniki, na jawabu ya Viungo vya mahuluki. hasa, ni stadi ya viini vinavyo radhi ya kaboni.
  • Kemia ya fizikia ni stadi ya asili ya kemikali, taratibu na mifumo ya kemikali. Bidii na siyara ya mifumo hii ya kemikali inavutia wana kemia ya fizikia. Eneo nyingine za stadi muhimu ni kama Kemikali ya siyarajoto, Kemikali ya mwendo wa bidii, kemia ya umeme, Umekaniki wa statistiki, na spektroskopi. Kemia ya fizikia inahusika sana na Fizikia ya molekyuli. Kemia ya fizikia inahusu matumizi ya hesabu za(kalikilasi) kwa kuonyesha milingano.
  • Kemia ya nadhari ni ustadi wa kemia kwa kutumia fikira (hasa kwa kutumia Hesabu ama fizikia), ina fafanua tabia ya shenga au zikiwa chenga. Hasa kwa matumizi ya Kuantam mekaniki na kwa kemia yaitwa kuantam kemia. Kutoka mwishi wa vita vya pili vya Dunia, uendelezaji wa compyuta umeruhusu mfumo wa uendelezaji wa Kemia ya uanga na compyuta, ambayo ni usanifu wa kutengeneza na kutumia miradi ya kompyuta ili kutatua hesabu za kemicali. Kemia ya nadhari ya husika zaidi na fiziki ya molekyuli.
  • Kemia ya Nuklia ni stadi ya vile viini vilivyo kwa atomi vinavyo jiunganisha pamoja na kujenga nuklia. Mageuzo ya radhi ni mambo ya kisasa na ni masomo makubwa ya kemia ya kinuklia, na jedwali ya vinuklia ni matokeo muhimu na kifaa cha elimu hii.

Elimu zingine za Kemia ni kama Kemia ya Sayari, Kemia ya Anga, Uhandisi wa Kemikali, Kemia ya-maarifa, Kemia ya umeme, Kemia ya mazingira, jeo-kemia, Kemia ya kijani kibichi, Hitoria ya Kemia, Sayansi ya Vifaa, Kemia ya Dawa, Biolojia ya molekyuli, Molekyuli za Jenetika, Technologia ya nukta, Kemia ya mahulukulu madini, Petrochemistry, Pharmacology, Photochemistry, Kemia ya bidii za nuru na kemikali, Kemia ya polima, Kemia ya molekyuli jitu, Kemia ya Wajihi, na Kemia ya athari-joto.

[hariri] Kanuni za ujuzi

[hariri] Mifumo ya Kemia

Mifumo ya kemia, ni taratibu zinazo husika kwa eneo hii kupea majina ya viungo vya kemikali. Kuna mifumo fumbuzi zaidi ya kupa majina kemikali zilizogudulika. Viungo mahuluku zapewa majina kulingana na mifumo ya mahuluku. viungo si mahuluku za pewa majina kulingana na mifumo ya si mahuluku.

[hariri] Atomi

Atomi ni muungano wa radhi ambazo zi mepata sitima ya kuunga kwa kiini (kwa nuklia ya atomi) ambayo ina protoni na niutroni, napia elektroni kadhaa ili kupima nguvu viini vilivyo na stima ya kuunga.

[hariri] Kiini

Kiini ni atomi ambazo zina kiwango cha nambari za protoni na nuklia sawa. Hii nambari yaitwa namba ya atomi ya kiini. Kwa mfano, atomi zote zina 6 protoni kwa nuklia ni atomi za kiini cha kemikali caboni, na atomika zote zina 92 protoni kwa nuklia ni atomi za kiini cha urani.

Maonyesho mazuri ya nambari za viini za kemikali ni jedwali, ambayo huweka viini vya kemikali ambazo zina tabia sawa ya kemikali pamoja. Orotha ya viinikwa jina, kwa ishara na kwa nambari ya atomi, na pia kwa kuongezea kuna orotha ya aisotope.

[hariri] Viungo

Kiungo ni kifaa kilicho na hakiba tosha ya viini vya kemikaliambazo za zaleta viungo, an mpango wa kujiunganisha ambao unaleta tabia fulani ya kemikali. Mfano, maji ni kiungo ambacho kina viini vya hidrojeni na oksijeni kwa uwiano wa mbili kwa moja, na oksijeni kati ya hidrojeni, na kwa pembe ya 104.5° kati. Viungo vi na tengenezwa na kubomolewa kwa Jawabu ya kemikali

[hariri] Molekyuli

Molekyuli ni kiungo asili kidogo zaidi kwa Viungo au kiini, ambacho hakiwezi kugauika mara nyingi, na kia tabia za kemikali. Molekyuli hasa yaweza kuwa na atomi mbili ama zaidi, zinazo kujiunga kikaza pamoja.

[hariri] Ioni

Ion ni kifaa kilicho na stima, ama atomi ama molekyuli ambayo imepoteza au kuongeza electroni. ilioongeza ya itwa kationi (kama natiri kationi Na+) na iliopoteza electroni ya itwa anioni (kama klorini Cl-) ambazo za weza kutulizana kama chumvi kwa kemikali (ni natiri ya kloroni NaCl). Mfano wa ioni za poliatomi ambazo hazigawani wakati wa Jawabu za kali-alkali ni kama hidrokside (OH-), ama fosfati (PO43-).

[hariri] Kifaa

Kifaa cha kemikali yaweza kuwa ni Kiini, Kiungo ama mchanganyiko wa Kiungo, Viini ama Viungo na viini. Radhi nyingi twaziona kilasiku kwa maisha yetu na mchanganyiko mwingine nikama anga, aloi, na radhi za biolojia na zaidi ya vitu vingine nyingi.

[hariri] Tazama pia


[hariri] Viungo vya nje

[hariri] Masomo zaidi

  • Chang, Raymond. Chemistry 6th ed. Boston: James M. Smith, 1998. ISBN 0071152210.
Lugha nyingine


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -