Urani
Kutoka Wikipedia
Urani (uranium) |
|
---|---|
|
|
Jina la Elementi | Urani (uranium) |
Alama | U |
Namba atomia | 92 |
Mfululizo safu | Metali |
Uzani atomia | 238.0289 |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 21, 9, 2 |
Densiti | 19.1 g·cm³ |
Kiwango cha kuyeyuka | 1405.3 K (1132.2 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 4404 K (4131 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 3 · 10-4 % |
Hali maada | mango |
Urani ni elementi katika mfumo radidia yenye alama U. Namba atomia ni 92 na uzani atomia ni 238. Jina limechaguliwa kutokana na sayari Uranus.
Neptuni ni metali nururifu. Isotopi yake 235U ni dutu asilia ya pekee inayoweza kuwa na mmenyuko mfululizo wa kinyuklia. Hutumiwa katika tanuri nyuklia pia katika silaha za nyuklia. Bomu ya nyuklia ya kwanza huko Hiroshima ilitengenezwa kwa Urani.
Makala hiyo kuhusu "Urani" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Urani kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |