Isimu
Kutoka Wikipedia
Isimu (au "maarifa ya lugha") ni sayansi inayochunguza lugha. Imegawiwa katika matawi mbalimbali:
- fonetiki kuhusu sauti zinazotolewa na binadamu
- fonolojia kuhusu mfumo wa sauti katika lugha fulani
- mofolojia kuhusu mfumo wa maneno
- sintaksi kuhusu mfumo wa sentensi
- semantiki kuhusu maana
[hariri] Marejeo
- TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
- Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Makala hiyo kuhusu "Isimu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Isimu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |