Chama cha Uhuru cha Puerto Rico
Kutoka Wikipedia
Chama cha Uhuru cha Puerto Rico (Kihispania: Partido Independentista Puertorriqueño - PIP) ni chama kidogo cha kisiasa nchini Puerto Rico. Inapigania uhuru wa nchi ambayo kwa sasa ni eneo la kushirikishwa la Marekani katika visiwa vya Antili Kubwa.
Chama kilianzishwa mwaka 1946. 2004 imeingia na mbunge mmoja kati ya 54 bungeni na seneta mmoja kati ya 28 katika senati ya Puerto Rico.
Chama chashiriki katika maungano ya vyama vya kisoshalisti duniani.
[hariri] Tazama pia
- www.independencia.net/ingles/welcome.html