Antili Kubwa
Kutoka Wikipedia
Antili Kubwa ni visiwa katika Bahari ya Karibi. Pamoja na Antili Ndogo, Visiwa vya Turks na Caicos na Visiwa vya Bahama ni visiwa vya Karibi.
Antili Kubwa ni hasa visiwa vinne vifuatavyo vikubwa zaidi pamoja na visiwa vingi vidogo.
- Kuba
- Hispaniola penye nchi mbili za Haiti na Jamhuri ya Dominika
- Jamaika
- Puerto Rico
[hariri] Orodha ya visiwa na funguvisiwa katika eneo la Antili Kubwa
- Kuba (nchi)
- Kuba (kisiwa)
- Archipiélago de Sabana
- Jardines del Rey
- Archipiélago de Camagüey
- Archipiélago de los Canarreos
- Jardines de la Reina
- Hispaniola na visiwa jirani
- Hispaniola (Haiti na Jamhuri ya Dominika
- Île de la Tortue (Haiti)
- Île de la Gonâve (Haiti)
- Île Grande Cayemite (Haiti)
- Île à Vache (Haiti)
- Cayos de Siete Hermanos (Jam. Dom.)
- Isla Beata (Jam. Dom.)
- Isla Saona (Jam. Dom.)
- Fuunguvisiwa ya Puerto Rico (nchi iliyojumuishwa na Marekani)
- Puerto Rico (Kisiwa)
- Mona na Monita
- Desecheo
- Caja de Muertos