Vanuatu
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: "In God we stand" | |||||
Wimbo wa taifa: Yumi, Yumi, Yumi | |||||
Mji mkuu | Port Vila |
||||
Mji mkubwa nchini | Port Vila | ||||
Lugha rasmi | Bislama, Kiingereza, Kifaransa | ||||
Serikali
Rais
Waziri Mkuu |
Jamhuri Kalkot Mataskelekele Ham Lini |
||||
uhuru kutoka Ufaransa na Uingereza tarehe |
30 Julai 1980 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
12,189 km² (ya 161) negligible |
||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - Msongamano wa watu |
211,000 (ya 183) 17/km² (ya 188) |
||||
Fedha | Vanuatu vatu (VUV ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+11) (UTC) |
||||
Intaneti TLD | .vu | ||||
Kodi ya simu | +678 |
Vanuatu ni nchi ya visiwani ndogo ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki ya kusini yenye visiwa 83. Lugha rasmi ni Bislama, Kiingereza Kifaransa. Iko takriban 1,750 km upande wa mashariki ya Australia, 500 km kaskazini-mashariki ya Kaledonia Mpya, magharibi ya Fiji na kusini ya Visiwa vya Solomon.
Kuna wakazi 202,609 (2004). Mji mkuu ni Port Vila.
Makala hiyo kuhusu "Vanuatu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Vanuatu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Nchi_na maeneo ya Australia na Pasifiki |
Australia | Fiji | Guam | Hawaii | Kaledonia Mpya | Kiribati | Kisiwa cha Pasaka | Mikronesia | Nauru | New Zealand | Niue | Pitcairn| Polynesia ya Kifaransa | Palau | Papua New Guinea | Samoa | Samoa ya Marekani | Visiwa vya Cook | Visiwa vya Mariana ya Kaskazini | Visiwa vya Marshall | Visiwa vya Solomon | Tonga | Tuvalu | Vanuatu | Wallis na Futuna |