>


Web - Amazon

We provide Linux to the World


We support WINRAR [What is this] - [Download .exe file(s) for Windows]

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
SITEMAP
Audiobooks by Valerio Di Stefano: Single Download - Complete Download [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Alphabetical Download  [TAR] [WIM] [ZIP] [RAR] - Download Instructions

Make a donation: IBAN: IT36M0708677020000000008016 - BIC/SWIFT:  ICRAITRRU60 - VALERIO DI STEFANO or
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Sukari - Wikipedia

Sukari

Kutoka Wikipedia

Aina nne za sukari
Aina nne za sukari
Fuwele za sukari jinsi zinavyoonekana kwa hadubini
Fuwele za sukari jinsi zinavyoonekana kwa hadubini

Sukari (kutoka Kar. سكر‎ sukkar iliyotoka kwenye Sanskrit sharkara) ni dutu tamu inayoungwa katika chakula na vinywaji kwa kusudi la kuzinogesha.

Yaliyomo

[hariri] Sukari kama chakula

Sukari ya chakula inapatikana kwa umbo la fuwele zenye rangi nyeupe na aina za kahawia mbalimbali kutegemeana na kiwango cha kusafishwa wakati wa kuitengeneza. Sukari inayopatikana madukani imetengenezwa kutoka kwa miwa au bitiruti ya sukari.

Watu hutia sukari katika vyakula na vinywaji vingi.

Sukari hupokelewa haraka na mwili ni chanzo muhimu cha nishati. Wakati huohuo matumizi ya sukari nyingi huleta hatari ya ugojwa wa kisukari na ugonjwa huo umeenea duniani tangu kupatikana kwa sukari kwa bei nafuu kutoka viwanda vikubwa. Hatari nyingine inayotokana na kula sukari nyingi ni kuoza kwa meno.

Kikemia sukari ni aina ya kabohidrati yaani wanga. Tukila wanga (kwa mfano ugali, viazi, mkate) mwili wetu huvunja molekyuli za wanga kuwa molekyuli ndogo zaidi za sukari. Hii ni sababu ya kwamba tunapenda sukari sana kwa sababu sukari ni yale mwili wetu unayotafuta na kula sukari inapunguza kazi ya mwili ya kuvunja kabohidrati kuwa sukari mwilini.

[hariri] Sukari kikemia

Wanakemia hujua aina mbalimbali za sukari. Sukari tunayotumia kama chakula huitwa sukrosi na fomula yake ni C12H22O11. Kuna pia sukari ndani ya matunda ambayo ni tofauti kikemia huitwa fruktosi (C6H12O6) inayosababisha utamu wa matunda.

Sukari jinsi inavyopatikana dukani huvunjwa tena mwilini. Kemia hutofautisha sukari aina za monosakaridi na disakaridi. Disakaridi ni molyekuli kubwa zaidi inayounganisha monosakaridi mbili. Monosakaridi ni sukari ya kimsingi inayoingia kwenye damu mara moja kwa mfano fruktosi. Hii ni sababu ya kwamba wanamichezo hula vidonge vya fruktosi au deksitrosi wakihitaji kuongeza nguvu haraka.

[hariri] Historia

Miwa iliyokatwa
Miwa iliyokatwa


[hariri] Miwa na asali

Kabla ya kupatikana kwa sukari watu walitumia matunda na hasa asali kwa kutia utamu kwenye vyakula vyao. Miwa ililimwa katika Asia ya kusini tangu miaka mielfu na maji matamu ya miwa ilitumiwa mahali pengi.

[hariri] Sukari fuwele ya Wahindi

Wahindi walikuwa watu wa kwanza wanaojulikana kuwa walifauli kuondoa fuwele za sukari kwenye maji ya miwa tangu mwanmo mwaka 350 KK. Kupatikana kwa sukari ya fuwele kulirahisisha biashara yake kwa sababu sukari katika umbo kavu haiozi na inawezekana kuibeba safarini.

Kutoka Uhindi sukari ilienea. Ilitengenezwa pia katika China na Mashariki ya Kati. Watu wa Mediteranea kama Waroma wa Kale walijua sukari kama dawa ghali sana iliyoigizwa kutoka Uhindi kwa njia ya meli.

Kilimo cha miwa pamoja na kutengenezwa kwa sukari kilizidi kuenea katika ustaarabu wa Uislamu hadi Afrika ya Kaskazini.

[hariri] Ulaya, sukari na ukoloni

Watu wa Ulaya walipaswa kununua sukari kutoka kwa Waarabu hadi manmo mwaka 1500 kwa sababu hali ya hewa ya Ualya hairuhusu kilimo cha miwa. Uenezaji wa milki za Ulaya katika nchi tropiki za Amerika ya Kati tangu Kolumbus uliwapa nafasi ya kuanzisha kilimo cha miwa. Wahispania walianzisha mashamba ya miwa huko Kuba mwaka 1523, Wareno walifuata Brazil mwaka 1532.

Kwa njia hii hamu ya sukari ilikuwa sababu muhimu ya uenezaji wa ukoloni pamoja na biashara ya watumwa.

Hata kama koloni za Hispania, Ureno, Uingereza, Uholanzi, Ufaransa na Denmark zilitengeneza sukari bado ilikuwa ghali kwa watu wa kawaida katika nchi baridi hasa katika nchi zisizokuwa na koloni.

Bitiruti ya sukari
Bitiruti ya sukari
Shamba la sukari nchini Kuba
Shamba la sukari nchini Kuba

[hariri] Sukari ya bitiruti

Katika karne ya 18 wanakemia Wajerumani walianza kugundua sukari ndani ya mimea ya nyumbani. Andreas Sigismund Marggraf alitambua sukrosi sawasawa na sukari ya miwa katika mimea mbalimbali ya kienyeji. Mwanafunzi wake Franz Carl Achard aliendelea kufanya majaribio akagundua nafasi kuwba ya bitiruti iliyolimwa kama chakula cha wanyama. Mwaka 1802 aliuza sukari ya kwanza kutoka bitiruti. Kwa kuteua mimea yenye sukari nyingi zaidi alizalisha aina mpya ya bitiruti ya sukari yenye kiwango cha asilimia 16-18 za sukari katika maji yake. Kiwango hiki ni kidogo kulingana na miwa lakini kimetosha kwa utengezeaji wa sukari kwa wingi.

Kwa njia hii nchi za kaskazini zisizokuwa na koloni zilipata chanzo cha sukari kwa bei nafuu. Leo hii takriban 1/4 ya sukari yote duniani hutengenezwa kwa njia ya bitiruti. Kiwango kiliwahi kuwa kikubwa katika miaka ya 1960 lakini imepungua tena kutokana na mabadiliko ya bei.

[hariri] Uzalishaji wa sukari duniani

Nchi zilizozalisha sukari nyingi duniani mwaka 2003
 Nafasi  Nchi  Uzalishaji 
(t milioni)
 Nafasi  Nchi  Uzalishaji 
(t milioni)
   1 Brazil    24,8    9 Ujerumani    4,2
   2 Uhindi    22,1    10 Pakistan    4
   3 China    11,1    11 Kuba    3,8
   4 Marekani    8    12 Afrika Kusini    2,6
   5 Uthai    7,3    13 Kolumbia    2,6
   6 Australia    5,4    14 Ufilipino    2,1
   7 Mexiko    4,9    15 Indonesia    2,1
   8 Ufaransa    4,4    16 Poland    2

[hariri] Aina za sukari

  • sukrosi (sukari ya kawaida)
  • glukosi
  • fruktosi
  • galaktosi


[hariri] Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

< Static Wikipedia 2008 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2007 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -

Static Wikipedia 2006 (no images)

aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu

span style="font-weight: bold;">Our
"Network":



Project Gutenberg

href="https://gutenberg.classicistranieri.com">https://gutenberg.classicistranieri.com



Encyclopaedia Britannica 1911

href="https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com">https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com



Librivox Audiobooks

href="https://librivox.classicistranieri.com">https://librivox.classicistranieri.com



Linux Distributions

https://old.classicistranieri.com



Magnatune (MP3 Music)

href="https://magnatune.classicistranieri.com">https://magnatune.classicistranieri.com



Static Wikipedia (June 2008)

href="https://wikipedia.classicistranieri.com">https://wikipedia.classicistranieri.com



Static Wikipedia (March 2008)

href="https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/">https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/



Static Wikipedia (2007)

href="https://wikipedia2007.classicistranieri.com">https://wikipedia2007.classicistranieri.com



Static Wikipedia (2006)

href="https://wikipedia2006.classicistranieri.com">https://wikipedia2006.classicistranieri.com



Liber Liber

href="https://liberliber.classicistranieri.com">https://liberliber.classicistranieri.com



ZIM Files for Kiwix

https://zim.classicistranieri.com





Other Websites:



Bach - Goldberg Variations

https://www.goldbergvariations.org



Lazarillo de Tormes

https://www.lazarillodetormes.org



Madame Bovary

https://www.madamebovary.org



Il Fu Mattia Pascal

https://www.mattiapascal.it



The Voice in the Desert

https://www.thevoiceinthedesert.org



Confessione d'un amore fascista

https://www.amorefascista.it



Malinverno

https://www.malinverno.org



Debito formativo

https://www.debitoformativo.it



Adina Spire

https://www.adinaspire.com




atOptions = { 'key' : 'e601ada261982ce717a58b61cd5b0eaa', 'format' : 'iframe', 'height' : 60, 'width' : 468, 'params' : {} };

Our "Network":

Project Gutenberg
https://gutenberg.classicistranieri.com

Encyclopaedia Britannica 1911
https://encyclopaediabritannica.classicistranieri.com

Librivox Audiobooks
https://librivox.classicistranieri.com

Linux Distributions
https://old.classicistranieri.com

Magnatune (MP3 Music)
https://magnatune.classicistranieri.com

Static Wikipedia (June 2008)
https://wikipedia.classicistranieri.com

Static Wikipedia (March 2008)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com/mar2008/

Static Wikipedia (2007)
https://wikipedia2007.classicistranieri.com

Static Wikipedia (2006)
https://wikipedia2006.classicistranieri.com

Liber Liber
https://liberliber.classicistranieri.com

ZIM Files for Kiwix
https://zim.classicistranieri.com


Other Websites:

Bach - Goldberg Variations
https://www.goldbergvariations.org

Lazarillo de Tormes
https://www.lazarillodetormes.org

Madame Bovary
https://www.madamebovary.org

Il Fu Mattia Pascal
https://www.mattiapascal.it

The Voice in the Desert
https://www.thevoiceinthedesert.org

Confessione d'un amore fascista
https://www.amorefascista.it

Malinverno
https://www.malinverno.org

Debito formativo
https://www.debitoformativo.it

Adina Spire
https://www.adinaspire.com