Tani
Kutoka Wikipedia
Tani moja ni kipimo cha masi ya gimba ambacho ni sawa na kilogramu 1,000. Si kipimo halisi cha SI lakini hukubaliwa pamoja navyo vipimo sanifu. Kama kipimo sanifu cha SI ingeitwa "megagramu" ambayo haitumiki.
Ni kipimo muhimu katika takwimu za biashara na uchumi.
[hariri] Marejeo
Makala hiyo kuhusu "Tani" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Tani kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |