Fuwele
Kutoka Wikipedia
Fuwele ni muundo wa gimba mango ambako atomi au molekuli zake zimepangwa kwa mpangilio maalumu unaorudia na kuendelea pande zote.
Chumvi hupatikana kama fuwele. Theluji ni maji katika umbo fuwele.
Dutu isiyopangwa kwa fuwele huitwa hobela yaani isiyo na umbo. Mfano wake ni umbo la unga au pia kioo. Viowewu vyote ni hobela.
Makala hiyo kuhusu "Fuwele" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Fuwele kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |