Mbuzi
Kutoka Wikipedia
Mbuzi ni mnyama mwenye miguu minne na mwenye tabia kama za n'gombe. Kwa ukubwa, mbuzi aliyekomaa ni pungufu ya theluthi moja ya ng'mbe aliyekomaa. mbuzi, kama alivyo n'gome ni mnyama anayefugika. Hufugwa kwa ajili ya nyamma, maziwa na ngozi yake. Kwani nyama na maziwa ni chakula, na ngozi kufanywa viatu, mishipi na mikoba pia. Mbuzi hula majani, hucheuwa na kutafuna tafuna chakula chake mara kadhaa kabla ya kukimeza, kama vile afanyavyo ngombe. Mara nyingi mbuzi hubeba mimba na kuzaa mapacha kadhaa.
[hariri] Viungo vya nje
- Goat breeds
- Goat resources
- Goat care and feeding guide
- Abraham Lincoln's sons kept pet goats inside the White House
- The American Dairy Goat Association Home Page
- Ruminations, The Nigerian Dwarf and Mini Dairy Goat Magazine
- American Goat Society
- Miniature Dairy Goat Association
- How to keep fires down in California scrub: Chew it.
- International Goat Association
Makala hiyo kuhusu "Mbuzi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Mbuzi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |