Marco Polo
Kutoka Wikipedia
Marco Polo (15 Septemba, 1254 – 8 Januari, 1324) alikuwa mpelelezi na mfanya biashara wa Kiitalia. Marco Polo ndiyo alikuwa wa kwanza kufanya upelelezi katika nchi zilizo kingama na bara la Asia na “Mashariki ya Mbali”. Marco, yeye ndiyo alikuwa wa kwanza kufanya upelelezi duniani. Wapelelezi wengine alikuwepo, Christopher Columbus, ambaye pia alifuata nyayo za Marco. Vilevile yasemekana kuwa Marco Polo, ndiyo alioleta chakula cha Spaghetti chini Italia. Alikipata chakula hicho huko Uchina na kukipeleka nchini kwao Italia.