Bahamas
Kutoka Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Forward Upward Onward Together | |||||
Wimbo wa taifa: March On, Bahamaland Wimbo wa Kifalme: God Save the Queen |
|||||
![]() |
|||||
Mji mkuu | Nassau |
||||
Mji mkubwa nchini | Nassau | ||||
Lugha rasmi | Kiingerza | ||||
Serikali
Mfalme (malkia)
Gavana Mkuu Waziri Mkuu |
Commonwealth Elizabeth II wa Uingereza Arthur Dion Hanna Perry Christie |
||||
Independence kutoka Uingereza |
10 Julai 1973 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
13,878 km² (ya 160) 28% |
||||
Idadi ya watu - 2005 kadirio - 1990 sensa - Msongamano wa watu |
323,0001 (ya 177) 254,685 23.27/km² (ya 181) |
||||
Fedha | Bahamas dollar (BSD ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EST (UTC−5) EDT (UTC−4) |
||||
Intaneti TLD | .bs | ||||
Kodi ya simu | +1-242 |
Bahamas ni nchi ya visiwani katika Atlantiki kaskazini ya Kuba na mashariki ya Florida (Marekani). Visiwa viko nje ya Bahari ya Karibi lakini mara nyingi huhesabiwa kati ya Visiwa vya Karibi.
Mji mkuu wa Nassau uko kwenye kisiwa cha New Providence.
Inaaminiwa ya kwamba mahali pa kwanza pa Amerika alipofika Kristoforo Kolumbus kilikuwa kisiwa kimoja cha Bahamas labda San Salvador.
Wakazi walio wengi ni wa asili ya Kiafrika wanaotumia lugha ya Kiingereza. The islands' mostly black population speaks English, the country's main language.
[hariri] Viungo vya Nje
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Bahamas" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Bahamas kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |