Ziwa la Konstanz
Kutoka Wikipedia
Ziwa la Konstanz (Kijerumani: Bodensee) ni ziwa mpakani wa Austria, Uswisi na Ujerumani lenye eno la 564 km². Kimo kikubwa cha ziwa hufikia mita 254. Jina la ziwa latokana na mji mkubwa uliopo kando lake.
Mto Rhine unapita katika ziwa ukiingia upande wa mashariki na kutoka magharibi.
Sehemu kubwa ya mwambao ni upande wa Ujerumani, theluthi moja upande wa Uswisi na sehemu inayobaki upande wa Austria.
Yaliyomo |
[hariri] Miji muhimu ziwani
[hariri] Ujerumani
-
- Konstanz
- Friedrichshafen
- Lindau
[hariri] Uswisi
-
- Stein am Rhein
- Kreuzlingen
[hariri] Austria
-
- Bregenz