Teluri
Kutoka Wikipedia
Teluri (tellurium) |
|
---|---|
|
|
Jina la Elementi | Teluri (tellurium) |
Alama | Te |
Namba atomia | 53 |
Mfululizo safu | Simetali |
Uzani atomia | 127.60 |
Valensi | 2, 8, 18, 18, 6 |
Densiti | 6.24 g/cm³ |
Kiwango cha kuyeyuka | 722.66 K (449.51°C) |
Kiwango cha kuchemka | 1261 K (988°C) |
Asilimia za ganda la dunia | 1 · 10-6 % |
Hali maada | mango |
Mengineyo |
Teluri (kutoka kilatini tellus "ardhi") ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 53 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 127.60.
[hariri] Tabia
Telluri ni elementi haba duniani. Ikitokea kwa umbo la fuwele ina rangi nyeupe-kifedha. Ni kechu lakini si gumu sana hivyo huvunjika haraka hadi kuwa vumbi. Hutokea pia kwa umbo la unga kahawia.
[hariri] Matumizi
Hutumiwa hasa katika aloi mbalimbali na kama nusukipitisho.
Makala hiyo kuhusu "Teluri" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Teluri kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |