Karen Blixen
Kutoka Wikipedia
Karen Christence Blixen-Finecke (jina la kisanii: Isak Dinesen) (Rungsted/ Denmark 17 Aprili 1885 - 7 Septemba 1962) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark.
Aliishi Kenya -wakati ule: Afrika ya Mashariki ya Kiingereza- kati ya 1913 hadi 1931 akiongoza shamba la kahawa karibu na mji wa Nairobi. Eneo la shamba lake la zamani hadi leo laitwa "Karen" ni kitongoji cha Nairobi.
Aliandika kumbukumbu ya maisha yake Kenya na kitabu hiki kikawa msingi wa filamu "Out of Africa".
[hariri] Vitabu
- Sandhedens hævn 1926
- Sju romantiska berättelser, 1934.
- Afrikansk pastoral, 1937
- Vedergällningens vägar, 1944
- Vintersagor, 1942.
- Skuggor över gräset, 1960.
[hariri] Links
- Karen Blixen – Isak Dinesen website
- Isak Dinesen/Karen Blixen short biography
- Karen Blixen's Kenya
- Karen Blixen Museum, Denmark
- Karen Blixen Museum, Kenya