William Shakespeare
Kutoka Wikipedia
William Shakespeare (Aprili 1564 - 23 Aprili, 1616) alikuwa mwandishi mashuhuri nchini Uingereza.
Waingereza mara nyingi humtazama kuwa ni mwandishi mkuu wa lugha yao. Aliandika hasa maigizo na tamthiliya. Alifanya pia kazi ya uigizaji.
Maigizo yake hupangwa katika vikundi vya
- michezo tanzia
- tamthiliya kuchekesha
- tamthiliya ya kihistoria
Wataalamu wengine hawakubali ya kwamba maandiko yote yanayojulikana kama "Shakespear" yameandikwa na mtu yeye yule. Walio wengi wameridhika ya kwamba huyu Shekespear wa kihistoria mwenyewe alikuwa mwandishi..
[hariri] Tamthiliya yake
Kati ya maandiko yake mashuhuri ni:
- Michezo Tanzia
- Romeo and Juliet
- Macbeth
- King Lear
- Hamlet
- Othello
- Titus Andronicus
- Julius Caesar
- Antony and Cleopatra
- Coriolanus
- Troilus and Cressida
- Timon of Athens
- Tamthiliya Kuchekesha
- The Comedy of Errors
- All's Well That Ends Well
- As You Like It
- A Midsummer Night's Dream
- Much Ado About Nothing
- Measure for Measure
- The Tempest
- Taming of the Shrew
- Twelfth Night or What You Will
- The Merchant of Venice
- The Merry Wives of Windsor
- Love's Labour's Lost
- The Two Gentlemen of Verona
- Pericles Prince of Tyre
- Cymbeline
- The Winter's Tale
- Tamthiliya ya Kihistoria
- Richard III
- Richard II
- Henry VI, part 1
- Henry VI, part 2
- Henry VI, part 3
- Henry V
- Henry IV, part 1
- Henry IV, part 2
- Henry VIII
- King John
Mchezo tanzia "Julius Caesar" pamoja na tamthiliya kuchekesha "The Merchant of Venice" imetafsiriwa na Mwalimu Julius Nyerere kwa lugha ya Kiswahili ("Julius Kaisari" na "Mabepari wa Venisi")
[edit] See also
[hariri] Viungo vya Nje