Wikipedia:Wakabidhi
Kutoka Wikipedia
Mkabidhi ni mhariri aneyeweza kutumia zana za kifundi, kwa mfano, kufuta makala kabisa, kuhifadhi makala, kuzuia waharibifu na kadhalika. Mkabidhi ni msaidizi tu. Hana hukumu maalum juu ya maandishi ya makala au sera ya kamusi elezo.
Bureaucrat (ni neno ya Kiingereza, maana ni mfanyakazi ya uendeshaji ya serikali au ushirika nyingine) ana uwezo kufanya mtu kuwa mkabidhi, kubadilisha jina la mtumiaji na kuteua akaunti ya kikaragosi ("set bot flag", kwa kiingereza).
Yaliyomo |
[hariri] Wakabidhi (Administrators)
Orodha hii ilisasishwa tarehe 8, Machi 2008.
BOTs: please use the Wikipedia:Jumuia page to request bot status, and one of the bureaucrats will deal with it
- Bureaucrat
- Baba Tabita
- Kipala
- User:Matt Crypto (badiliko la mwisho: Julai 2007)
- Mkabidhi (administrator, sysop)
- Wakabidhi wa zamani
[hariri] Uteuzi (Nominations)
Upige kura kukabidhi mtumiaji awe mkabidhi. Mkabidhi akiwa na kasa kura mbili ya kuunga mkono (bighairi ya kura ya mteuzi), ni lazima atateuliwa tena Wikipedia ya Kiswahili itakapokuwa imeshughulika. (Please vote below to accept the listed users as admins. Any admins created with fewer than 2 support votes (other than that of the nominator) should be renominated once sw: becomes more active.)
[hariri] Wakabidhi wasioonekana
Tuna wakabidhi kadhaa ambao hawaonekani tena sana. Kwa kutazama "user contributions" napata:
Kuna wengine walioonekana mara chache tu kwa mfano
- Marcos: alionekana Desemba 2007 na kabla ya hayo alikuwa kimya tangu Juni 2007.
- Ndesanjo: hakuonekana kati ya Oktoba 2006 na Mei 2007. Tangu Mei ameonekana karibu kila mwezi.
- Matt Crypto alionekana mara ya mwisho 8 Julai 2007. Kuna tatizo la ziada kuwa yeye ni bureaucrat yetu na hajibu tena. Hapa ni sababu naunga mkono kumteua mwingine.
Hawa wote ni wanawikipedia waliojitolea sana kujenga wikipedia ya Kiswahili lakini kwa sababu zao hawakuweza au hawakupenda kuendelea jinsi ilivyokuwa awali.
Naomba tuelewane: Upande wa heshima hawastahili kupungukiwa nafasi hii ya mkabidhi. Kwa upande wa kazi mara nyingi hawako na hawawezi kusaidia kitu. Kila wikipedia ni huru kuweka utaratibu wake.
Pendekezo:
- Mkabidhi asiyeonekana kwa muda wa miezi mitatu anatazamiwa amepumzika. Jina lake litahamishwa kwa nafasi ya "Wakabidhi mapumzikoni".
- Akionekana tena atarudishwa kati ya wakabidhi baada ya kuchangia mara tatu.
- Akikaa kimya kwa muda wa mwaka mmoja atahamishwa katika orodha ya "Waliokuwa wakabidhi". Akionekana tena atarudishwa (kama juu). --User_talk:Kipala 08:56, 1 Februari 2008 (UTC)
-
- Sawa, lakini haitatatua shida yetu ya ukosefu wa waandishi, wakabidhi na mabureaucrat, hususa wasemao Kiswahili kwa lugha ya kwanza. ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
- Nimemwondoa Neno kutoka katika kundi la wakabidhi. Wote wengine wamebaki. Hata Sj ameonekana tena mwezi wa Februari 2008; pia ni 'steward' kwa hiyo anastahili kuwa mkabidhi hata akitusaidia mara chache tu. --Oliver Stegen 13:33, 7 Machi 2008 (UTC)
- Nimegundua kwamba hata kama 'bureaucrat' siwezi kumwondoa mkabidhi. Haya, Neno amebaki na haki za mkabidhi. --Oliver Stegen 13:38, 7 Machi 2008 (UTC)
[hariri] Jalada (Archive)
[hariri] Muddyb Blast
Ateuliwe kuwa mkabidhi ili aweze kulinda makala za wikipedia. Amehariri zaidi ya mara 2,440 toka ajiunge. --Mwanaharakati 12:05, 31 Januari 2008 (UTC)
[hariri] Support
- Namwunga mkono. ameshapata uzoefu akionyesha bidii. --User_talk:Kipala 14:14, 31 Januari 2008 (UTC)
- --Per Angusta 08:26, 1 Februari 2008 (UTC)
- Sj 06:45, 2 Februari 2008 (UTC)
- Ndiyo, anaonyesha juhudi nyingi. --ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
- Nakubali. Marcos 23:13, 5 Februari 2008 (UTC)
- Kura yangu ni "ndiyo" Malangali 08:26, 6 Februari 2008 (UTC)
- Naunga mkono. --Ndesanjo (majadiliano) 09:53, 13 Machi 2008 (UTC)
[hariri] Malangali
- Najiteua kuwa mkabidhi, ili nisaidie kwenye utafsiri wa MediaWiki kwa sw.wikipedia. User:Malangali 13:03, 17 Desemba 2007 (UTC)
[hariri] Support
- GerardM 11:12, 8 Januari 2008 (UTC)
- Arthurbuliva 12:33, 8 Januari 2008 (UTC)
- Mwanaharakati 13:05, 11 Januari 2008 (UTC)
- ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
- Naunga mkono uteuzi wako. --Ndesanjo (majadiliano)
[hariri] Bureaucrat : Kipala
Namteua Kipala anisaidie katika kazi za kibureaucrat. Mara kwa mara kazi yangu mpya hapa Nairobi itanisafirisha kwa wiki kadhaa kwenda maeneo ambapo hakuna mtandao hata kidogo. Kipala ameonyesha bidii na busara, tena ni mkubwa wangu humo mwenye wikipedia ya Kiswahili. Kwa hiyo apewe cheo hicho cha Bureaucrat. --Oliver Stegen 09:08, 1 Machi 2008 (UTC)
[hariri] Support
- Cheo, chamfaa. Mahudhurio yake ni makubwa mno. Anastahili.--"Mwanaharakati" (talk) 11:50, 1 Machi 2008 (UTC)
- Marcos
- Nakubali kabisa. ChriKo 11:16, 2 Machi 2008 (UTC)
- Ndiyo. Malangali 18:20, 4 Machi 2008 (UTC)
- Naunga mkono. --Ndesanjo (majadiliano) 09:49, 13 Machi 2008 (UTC)
[hariri] Bureaucrat : Oliver Stegen
Oliver, anafaa kuwa na cheo hicho cha Bureaucrat, hivyo apewe tu. --Mwanaharakati 11:28, 31 Januari 2008 (UTC)
[hariri] Support
- Yes I think that Matt has been inactive for more than half a year. I think Oliver is best placed to perform that task. --User_talk:Kipala 14:14, 31 Januari 2008 (UTC)
- Ndio -- Sj 06:45, 2 Februari 2008 (UTC)
- Ana stahili cheo hicho.--Mwanaharakati (talk) 12:45, 2 Februari 2008 (UTC)
- Nakubali.--ChriKo 17:19, 3 Februari 2008 (UTC)
- Nakubali pia. Marcos 23:13, 5 Februari 2008 (UTC)
- Afadhali. Malangali 08:23, 6 Februari 2008 (UTC)
- Naunga mkono kabisa. --Ndesanjo 22:18, 11 Februari 2008 (UTC)
[hariri] Neutral
- Sina uhakika kama nitaweza kuongeza muda ninaoushinda humo. Nilikuwa nimeshatangaza kuwa nitakosekana mara kwa mara baada ya kurudi Afrika Mashariki. Ndiyo sababu nimekuwa kimya, hapo kwa siku chache, hapo kwa wiki kadhaa. Nisingependa kuwavunjieni mioyo. Haya, uchaguzi ni wenu ... Mbarikiwe! --Oliver Stegen 14:59, 7 Februari 2008 (UTC)
Usiwe na hofu Mungu yupo na wewe. Tumekuchaguwa ili uweze kuendesha daraka hilo. Baraka za watu wote waliokupigia kula ziko juu yako, hivyo usitie shaka!! Kaza buti... Tupo pamoja.--Mwanaharakati (talk) 16:09, 7 Februari 2008 (UTC)
[hariri] Ona pia
- en:Wikipedia:Administrators' how-to guide (Kiingereza)
- de:Wikipedia:Administratoren (Kijerumani)