User:Arthurbuliva
Kutoka Wikipedia
Mie Mkenya. Kenya nilizaliwa na kulelewa huku.
Futi tano inchi kumi na moja ninasimama. Kwa sasa ninakilo sabini uzani. Nywele nyeusi ya Kiafrika na maumbile mengi ambazo huwezi ukanitofautisha na sehemu nyingine ya ulimwengu.
Tuendelee kuongea