Shaunge
Kutoka Wikipedia
Shaunge | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Shaunge zambarau
|
||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Shaunge ni ndege wa jenasi Porphyrio katika familia ya Rallidae. Huitwa kukutanda pia. Wanafanana sana na kukuziwa lakini rangi yao ni buluu au zambarau. Wana kigao chekundu isipokuwa Porphyrio flavirostris ambaye ana kigao njano. Mwenendo wao ni kama kukuziwa.
Yaliyomo |
[hariri] Spishi za Afrika
- Porphyrio alleni, Shaunge kijani au Kukutanda Mdogo ( Allen’s Gallinule)
- Porphyrio coerulescens, Shaunge wa Réunion (Réunion Swamphen or “Oiseau bleu”) imekwisha sasa (kadiri ya 1730) - imeainishwa kutokana na ripoti za wasafiri
- Porphyrio porphyrio, Shaunge Zambarau au Kukutanda Zambarau (Purple Swamphen or Purple Gallinule)
[hariri] Spishi za mabara mengine
- Porphyrio albus (Lord Howe Swamphen) imekwisha sasa (mwanzo wa karne 19)
- Porphyrio flavirostris (Azure Gallinule)
- Porphyrio hochstetteri (Takahē au South Island Takahē)
- Porphyrio mantelli (North Island Takahē au “mōho”) imekwisha sasa (miaka 1890)
- Porphyrio martinica (American Purple Gallinule)
- Porphyrio paepae (Marquesas Swamphen) imekwisha sasa kadiri ya 1900)
[hariri] Spishi za kabla ya historia
- Porphyrio kukwiedei (New Caledonian Swamphen) (Kaledonia Mpya, mwisho wa Quaternary)
- Porphyrio mcnabi (Huahine Swamphen) (Polinesia ya Kifaransa, mwisho wa Quaternary)
- Porphyrio sp. (Buka Swamphen) (Visiwa vya Solomon, mwisho wa Quaternary)
- Porphyrio sp. (Giant Swamphen) (Kisiwa cha New Ireland, Papua Guinea Mpya, mwisho wa Quaternary)
- Porphyrio sp. (New Ireland Swamphen) (Papua Guinea Mpya, mwisho wa Quaternary)
- Porphyrio sp. (Norfolk Island Swamphen) (Kisiwa cha Norfolk, mwisho wa Quaternary)
- Porphyrio sp. (Rota Swamphen) (Kisiwa cha Rota, Marianas, mwisho wa Quaternary)
- ?Porphyrio sp. (Mangaia Swamphen/Woodhen) (Kisiwa cha Mangaia, Visiwa vya Cook, mwisho wa Quaternary) - labda Porphyrio, Gallinula au Pareudiastes