Korongo
Kutoka Wikipedia
Makorongo ni ndege wenye shingo ndefu na miguu mirefu na hunyosha shingo na miguu wakiruka angani. Yangeyange na makoikoi hupinda shingo yao wakiruka angani.
Jina hili hutumika kwa jamii mbili ya ndege:
- Ciconiidae (storks)
- Gruidae (cranes)