Shanghai
Kutoka Wikipedia
Shanghai ni mji mkubwa nchini China mwenye wakazi milioni 14 na pamoja na rundiko la jiji ni takriban milioni 20. Iko mdomoni wa mto Yangtze.
Katika historia ilikuwa bandari muhimu. Wakati wa karne ya 19 China ililazimishwa na Uingereza kukubali Shanghai kama bandari kwa meli za nje na biashara ya kimataifa. Kwa njia ilikuwa geti ya China kwa dunia ikaanza kukua sana. Wiangereza, Wajapani na Wamarekani wote walipewa maeneo yao walipukuwa na mamlaka. Maeneo haya yote yaliunganishwa kama mtaa wa kimataifa wa Shanghai.
Tangu 1949 mji uliunganishwa baada ya mapinduzi ya kikomunisti yaliyotangaza mwisho wa mtaa wa kimataifa. Maendleo ya mji yalikwama hadi miaka ya 1980 China ilipoamua kujiunga tena na uchumi wa kimataifa na Shanghai ikawa kitochu cha biashara hii.
Mji ulizidi kukua haraka
Makala hiyo kuhusu "Shanghai" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Shanghai kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |