Petro Mtakatifu
Kutoka Wikipedia
Petro Mtakatifu alikuwa mfuasi wa Yesu, na baadaye askofu wa Roma (au papa) wa kwanza hadi kifo chake kati ya 64 na 67. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Shimon bar Yona.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Petro katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki