Mmea
Kutoka Wikipedia
Mimea ni moja ya kundi la viumbe hai duniani ikijumuisha miti, maua, mitishamba,n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.
Sayansi inayochunguza mimea huitwa botania ni kitengo cha biolojia. Kwenye uainishaji wa kisayansi Mimea hujumlishwa katika himaya ya planta kwenye milki ya Eukaryota.
Makala hiyo kuhusu "Mmea" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Mmea kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |