Ernst Otto Fischer
Kutoka Wikipedia
Ernst Otto Fischer (10 Novemba, 1918 – 23 Julai, 2007) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza misombo ya metali na kaboni. Mwaka wa 1973, pamoja na Geoffrey Wilkinson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.