Elbe
Kutoka Wikipedia
Elbe | |
---|---|
|
|
Chanzo | Milima ya Krkonoše (Riesengebirge) |
Mdomo | Bahari ya Kaskazini |
Nchi | Ujerumani, Ucheki |
Urefu | 1,091 km |
Kimo cha chanzo | 1,386 m |
Tawimito upande wa kulia | Schwarze Elster, Havel, Löcknitz, Elde, Sude, Boize, Bille, Alster , Pinnau, Krückau, Stör |
Tawimito upande wa kushoto | Moldau, Eger, Mulde, Saale, Tanger, Aland, Jeetzel, Ilmenau, Este, Schwinge, Oste |
Mkondo | 711 m³/s |
Eneo la beseni | 148,268 km² |
Miji mikubwa kando lake | Dresden, Magdeburg, Hamburg |
Elbe ni mto mkubwa nchini Ujerumani na Ucheki.
Inaanza kwa jina la Kicheki "labe" katika milima ya Krkonoše (Kijer.: Riesengebirge) karibu na mpaka wa kaskazini ya Ucheki.
Inapita sehemu kubwa ya Ujerumani wa Mashariki na Kaskazini na kuishia katika Bahari ya Kaskazini.
Elbe ni njia muhimu ya meli za mtoni. Meli kubwa za bahari zinafika hadi bandari ya Hamburg kwa kutumia mdomo mpana wa Elbe.
Makala hiyo kuhusu "Elbe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Elbe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |