Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Dominica - Wikipedia

Dominica

Kutoka Wikipedia

Commonwealth of Dominica
Flag of Dominica Nembo ya Dominica
Bendera Nembo
Wito la taifa: Après le Bondie, C'est la Ter (Kifaransa)
(Baada ya Mungu ni dunia)
Wimbo wa taifa: Isle of Beauty, Isle of Splendour
Lokeshen ya Dominica
Mji mkuu Roseau
15°18′ N 61°23′ W
Mji mkubwa nchini Roseau
Lugha rasmi Kiingereza
Serikali
Rais
Waziri Mkuu
Demokrasia
Nicholas Liverpool
Roosevelt Skerrit
Uhuru
Tarehe

3 Novemba 1978
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
751 km² (ya 184)
1.6
Idadi ya watu
 - Agosti 2006 kadirio
 - 2001 sensa
 - Msongamano wa watu
 
68,902 (ya 2011)
69,625
105/km² (ya 95)
Fedha East Caribbean Dollar (XCD)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
(UTC-4)
(UTC-4)
Intaneti TLD .dm
Kodi ya simu +1-767
1Rank based on 2005 UN estimate.
Ramani ya Dominica
Ramani ya Dominica

Dominica ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi. Haitakiwa kuchanganywa na Jamhuri ya Dominika ambayo ni nchi nyingine katika Karibi. Jina limetokana na lugha ya Kilatini lamaanisha „Jumapili“ kwa sababu Kristoforo Kolumbus alifika hapa mara ya kwanza siku ya Jumapili tar. 3 Novemba 1493.

[hariri] Historia

Dominica ilikuwa kati ya visiwa vya mwisho katika Karibi vilivyotekwa na Wazungu kutokana na utetezi mkali wa Waindio wenyeji. Ni pia mahali pa mwisho ambako Wakaribi bado wako waliopotea penginepo kwenye viwa vya Karibi. Tabia ya kisiwa kuwa na milima mingi kwa muda mrefu haikuonekana ni mahali pazuri pa kilimo ya mashamba makubwa. Hivyo mataifa yaliyounda koloni kwa muda mrefu hayakuvutwa kulipa gharama za kupeleka wanajeshi wengi kisiwani waliohatajika kukandamiza Waindio.

Hispania iliacha majaribio ya kuteka kisiwa katika karne ya 16. Uingereza ilijaribu kuunda utawala wake juu ya kisiwa 1627 ikaacha. Mwaka 1635 Ufaransa ilipeleka bendera yake Dominica lakini ikaacha pia. Tangu 1748 Uingereza na Ufaransa walipatana ya kwamba kisiwa kitakuwa eneo lisolotawaliwa na upande moja. Katika miaka iliyofuata walowezi wachache Wafaransa walianzisha mashamba na mji wa Roseau. Baada ya vita ya miaka saba Uingereza ulichukua utawala wa kisiwa na kupeleka walowezi pamoja na watumwa kutoka Afrika kisiwani. Waindio walirudishwa polepole katika maeneo ya milimani.

Uhuru ulipatikana 3 Novemba 1978.

[hariri] Jiografia

Kisiwa kina urefu wa 46.4 km na upana wa 25.6 km, eneo lake ni 746 km². Mlima mkubwa ni volkeno ya Morne Diablotins mwenye kima cha 1,447 m juu ya UB. Kuna misitu mingi na maeneo ya kuhifadhiwa.

[hariri] Miji

Miji mikubwa zaidi kisiwani ni:

  • 1. Roseau: wakazi 16,074
  • 2. Portsmouth: wakazi 3,633
  • 3. Berekua: wakazi 3,195
  • 4. Marigot: wakazi 2,669
  • 5. Grand Bay: wakazi 2,608
Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Dominica" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Dominica kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -