Constantius Chlorus
Kutoka Wikipedia
Flavius Valerius Constantius (31 Machi, 250 – 25 Julai, 306) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia mwezi wa Mei 305 hadi kifo chake. Aliitwa Chlorus kwa ajili ya rangi ya uso wake kuwa nyeupe. Alimfuata Maximian. Alikuwa baba wa Konstantin Mkuu.