Alfred Hitchcock
Kutoka Wikipedia
Mh. Alfred Joseph Hitchcock (13 Agosti, 1899 – 29 Aprili, 1980) alikuwa mwongozaji na mtayarishaji filamu mkubwa wa Kiingereza. Yaaminika kwamba Alfred Hitchcock ndiyo mgunduzi na mwanzilishi wa mtindo mingi ya filamu za kusisimua na za aina ya kutisha. Baada ya kuongoza baadhi ya filamu za huko Uingereza, Alfred alielekea mjini Hollywood na akaja kuwa raia wa Marekani kunanko mwaka wa 1956.
Moja kati ya filamu alizoongoza Alfred ni kama ifuatavyo: The Lodger (1927), The Lady Vanishes (1938), Rebecca (1940), The Man Who Knew Too Much (1934 na ilijengwa upya mnamo 1956), Rear Window (1954), Vertigo (1958), North by Northwest (1959), Psycho (1960), The Birds (1963), Topaz (1969) na Frenzy (1972). Alfred vilevile ni mtangazaji na mwongozaji wa kipindi cha TV kiitwacho Alfred Hitchcock Presents.
[hariri] Viungo vya nje
- Alfred Hitchcock katika Internet Movie Database
- Alfred Hitchcock katika TCM Movie Database
- HitchcockOnline - Contains a lengthy online essay and related links.
- Senses of Cinema's "Great Directors" Alfred Hitchcock profile
- Hitchcock's Style -- online exhibit from screenonline, a website of the British Film Institute
- Official Universal Website
- The Alfred Hitchcock Scholars/"MacGuffin" website - the online extension of the Alfred Hitchcock journal The MacGuffin.
- Writing With Hitchcock - Companion site to Steven DeRosa's book of the same name, includes original interviews, essays, script excerpts, and extensive material on Hitchcock's unproduced works.
- Basic Hitchcock Film Techniques A checklist of his top 13 film techniques.
- EuroScreenwriters features interviews with Hitchcock, both text and video
- Essay: The Lodger: The First 'Hitchcock' Film
- Alfred Hitchcock katika Movies.com
- Alfred Hitchcock's Album, Alfred Hitchcock receives a tribute in this album of "recomposed photographs".
- Hitchcock's Holocaust Film
- Frontline, Memory of the Camps
- A Painful Reminder
- Alfred Hitchcock Wiki