1829
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1826 1827 1828 - 1829 - 1830 1831 1832 |
[hariri] Matukio
- 31 Machi - Uchaguzi wa Papa Pius VIII
[hariri] Waliozaliwa
- 26 Julai - Auguste Beernaert (mwanasiasa Mbelgiji na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1909)
- 5 Oktoba - Chester Arthur, Rais wa Marekani (1881-1885)