Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Zebaki - Wikipedia

Zebaki

Kutoka Wikipedia


Zebaki au Hidragiri (hydrargyrum)
Tone la zebaki
Tone la zebaki
Jina la Elementi Zebaki au Hidragiri (hydrargyrum)
Alama Hg
Namba atomia 80
Mfululizo safu Metali ya mpito
Uzani atomia 200.59
Valensi 2, 8, 18, 32, 18, 2
Densiti 13.534 g/cm³
Kiwango cha kuyeyuka 234.32 K (-38.83 °C)
Kiwango cha kuchemka 629.88 K (356.73 °C)
Asilimia za ganda la dunia 4*10-5 %
Hali maada kiowevu
Mengineyo kiowevu kwa hali sanifu

Zebaki (jina la kisayansi: hidragiri) ni elementi na metali duniani. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Hg na namba atomia 80 katika mfumo radidia.

[hariri] Majina

Jina la kawaida "zebaki" lina asili ya Kiarabu زئبق (tamka "zibaq"). Jina la kisayansi latokana na lugha ya Kigiriki kupitia umbo la Kilatini. Ndani yake kuna maneno mawili ya ύδωρ (hidor - maji) na Άργυρος (argiros - fedha) yaani "fedha ya majimaji".

[hariri] Tabia

Zebaki ni elementi ya pekee pamoja na bromi inayoonekana kama kiowevu kwenye hali sanifu yaani mnamo 0 °C na shindikizo la kawaida. Rangi yake ni kifedha-nyeupe.

Ni nzito sana kiasi cha kwamba chuma kinaelea ndani yake. Kwa binadamu ni sumu. Inajiunga na metali kadhaa kama aloi menginevyo haimenyuki kirahisi.

[hariri] Matumizi

Matumizi yake ni katika mitambo na madawa. Yajulikana kama kidole cha kipimajoto kwa sababu zebaki hupanua sambamba na kupanda kwa halijoto.

Aloi zake yatumiwa pia katika tiba ya meno kwa kujaza mashimo.

Halfau ni nyongeza katika taa zinazotakiwa kutoa mwanga mkali au katika beteri.


Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Zebaki" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Zebaki kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -