Walt Disney
Kutoka Wikipedia
Walter Elias Disney (alizaliwa tar. 5 Desemba, 1901 - Desemba 15, 1966) alikuwa mtayarishaji, mwongozaji na mwanakatuni maarufu wa Kimarekani. Akiwa pamoja na ndugu yake aitwaye Roy Disney, walifanikiwa kuazishwa kwa kampuni ya Walt Disney Productions (sasa hivi inaitwa The Walt Disney Company).
Disney's anafahamika zaidi kwa kubuni katuni zake zilizo maarufu, Mickey Mouse. Minnie Mouse na Pluto vilevile ni ubunifu wake.
[hariri] Viungo vya nje
- Walt Disney katika INDUCKS
- Walt Disney katika Internet Movie Database
- Walt Disney katika TCM Movie Database
- Walt Disney Family Museum
- 1985 audio interview with Leonard Mosley, author of Disney's World, a biography about Walt Disney by Don Swaim
- Neal Gabler, Inside Walt Disney
- Anaheim Walk of Stars
- Interview with Robert Stack About Walt Disney's Involvement in Polo
- Walt Disney Gravesite