Tumbaku
Kutoka Wikipedia
Tumbaku (Hordeum vulgare L.) |
||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Tumbaku
|
||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Tumbaku (pia: tumbako, mtumbako) ni mmea mwenye asili ya Amerika inayolimwa kote duniani. Majani yake yana kiasi kikubwa cha nikotini na yana matumizi ya kuvuta katika sigara.
[hariri] Historia
Maindio ambao ni wenyeji asilia wa Amerika walitumia tumbaku miaka migi kabla ya kufika kwa Wazungu huko. Wahispania walijifunza matumizi ya tumbaku kutoka kwao wakaileta Ulaya.
Mwanzoni Tumbaku ilivutwa kwa kiko. Sigara zilipatikana baadaye.
[hariri] Walimaji Tumbaku
Walimaji wakuu wa tumbaku duniani - 2005 (milioni za tani za mraba) |
|
---|---|
China | 2.51 |
Brazil | 0.88 |
Uhindi | 0.60 |
Marekani | 0.29 |
Indonesia | 0.14 |
Uturuki | 0.14 |
Ugiriki | 0.12 |
Argentina | 0.12 |
Italia | 0.11 |
Pakistan | 0.08 |
World Total | 6.38 |
Kutoka: FAO [1] |
Makala hiyo kuhusu "Tumbaku" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Tumbaku kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |