Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Romano Prodi - Wikipedia

Romano Prodi

Kutoka Wikipedia

Romano Prodi (* 28 Agosti 1939 Scandiano (Italia)) ni mwanasiasa na waziri mkuu wa Italia.

Yaliyomo

[hariri] Profesa wa uchumi

Prodi aliwahi kuwa profesa wa uchumi kwenye Chuo Kikuu cha Bologna kati ya 1971 hadi 1999. 1978 aliitwa na Waziri Mkuu Giulio Andreotti kujiunga na serikali yake kama waziri wa viwanda. Baada ya kuvunjika kwa serikali hiyo mwaka 1979 Prodi alirudi kwenye Chuo Kikuu.

[hariri] Waziri Mkuu mara ya kwanza

1996 alipewa nafasi ya kiongozi wa ushirikiano wa "Uliva" uliounganisha vyama mbalimbali vya kisasa akamshinda Silvio Berlusconi na umoja wake wa kisiasa akawa waziri mkuu. Akajiuzulu 1998 baada ya kuporomoka kwa ushirikiano wa Uliva bungeni.

[hariri] Kiongozi wa Ulaya

1999 akachaguliwa kama mbunge wa Bunge la Ulaya akateuliwa kuwa mwenyekiti au raisi wa Kamati ya Ulaya kwa kipindi cha 1999 hadi 2004. Aliongoza Umoja wa Ulaya katika majadiliano ya kupokea nchi kumi kama wanachama wapya mwaka 2004.

[hariri] Waziri Mkuu awamu wa pili

Baada ya kumaliza kipindi chake akarudi katika siasa ya Italia aliposhinda tena uchaguzi wa bunge la mwaka 2006 dhidi ya Berlusconi. Tangu 17 Mei amekuwa waziri mkuu wa Italia mara ya pili akiongoza ushirikiano wa vyama unaoitwa "Unione" ("umoja")..

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Romano Prodi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Romano Prodi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -