Radoni
Kutoka Wikipedia
Radoni |
|
---|---|
|
|
Jina la Elementi | Radoni |
Alama | Rn |
Namba atomia | 86 |
Mfululizo safu | Gesi adimu |
Uzani atomia | 222 |
Kiwango cha kuyeyuka | (202 K (−71.15 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 211.3 K (−61.85 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | 6 · 10-16 % |
Hali maada | gesi |
Radoni (kut. kilatini "radius" (mshale) kwa sababu ya unururifu wake) ni elementi yenye namba atomia 86 na uzani wa atomi 222. Alama yake ni Rn.
[hariri] Tabia
Radoni ni kati ya gesi adimu hivyo haimenyuki na elementi nyingine.
Si elementi ya kudumu kutokana na unururifu wake na nusumaisha yake ni siku 3.8 pekee. Inajitokeza mara kwa mara kutokana na mbunguo wa Radi.
Ni gesi nzoto hivyo haipandi sana juu kwenye angahewa bali kukaa chini. Hii ni sababu ya kwamba hukunsayika polepole ndani ya nyumba ambako madirisha na milango haifunguliwi. Hapa unururifu inaweza kuwa hatari ya afya.
Makala hiyo kuhusu "Radoni" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Radoni kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |