Praha
Kutoka Wikipedia
Praha (pia: Praga, Prague (tamka: Prag) -Kicheki: Praha) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ucheki mwenye wakazi milioni 1.2. Kutokana na uzuri wa majengo yake za kihistoria imeitwa "mji wa dhahabu" au "mji wa minara 100".
[hariri] Jiografia
Mji uko kando la mto Vltava katika Ucheki ya magharibi. Kitovu cha mji kipo katika pindo la mto kati ya vilima viwili. Mji umeenea zaidi hadi nyanda za juu za jirani. Ndani ya eneo la mji kuna visiwa kadhaa mtoni. Milima ya juu karibi na mji inafikia kimo cha 381 na 385 m.
[hariri] Viungo vya Nje
[hariri] Picha za Praha
Makala hiyo kuhusu "Praha" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Praha kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |