Polynesia
Kutoka Wikipedia
Polynesia (Kigiriki: πολύς vingi, νῆσος kisiwa yaani visiwa vingi) ni eneo la visiwa 1,000 katika Pasifiki ya kati na kusini.
Laenea kati ya Hawaii, New Zealand na Kisiwa cha Pasaka. Eneo hili laitwa "Pembetatu ya Polynesia".
[hariri] Visiwa vya Polynesia
-
Visiwa na funguvisiwa zifuatazo ni sehemu za Polynesia: Nchi huru Visiwa vya Cook nchi inayoshirikana na New Zealand Kiribati (nchi huru) New Zealand (nchi huru) Niue in Assoziation mit New Zealand Samoa (nchi huru) Tonga (nchi huru) Tuvalu (nchi huru) Maeneo yaliyo chini ya nchi za nje Samoa ya Marekani Eneo al ng'ambo la Marekani Polynesia ya Kifaransa Eneo la ng’ambo la Ufaransa Hawaii Jimbo la Marekani Kisiwa cha Pasaka Eneo la ng’ambo la Chile Pitcairn Eneo la ng’ambo la Uingereza Tokelau Eneo la ng’ambo la New Zealand Wallis na Futuna Eneo la ng’ambo la Ufaransa Maeneo ya nchi za Polynesia nje ya Pembetatu ya Polynesia Anuta Eneo la Visiwa vya Salomon Emae Eneo la Vanuatu Kapingamarangi Eneo la Shirikisho la Mikronesia Mele Eneo la Vanuatu Nuguria Eneo la Papua Guinea Mpya Nukumanu Eneo la Papua Guinea Mpya Nukuoro Eneo la Shirikisho la Mikronesia Ontong Java Eneo la Visiwa vya Salomon Pileni Eneo la Visiwa vya Salomon Rennell Eneo la Visiwa vya Salomon Sikaiana Eneo la Visiwa vya Salomon Tikopia Eneo la Visiwa vya Salomon Takuu Eneo la Papua Guinea Mpya