Kriptoni
Kutoka Wikipedia
Kriptoni |
|
---|---|
|
|
Jina la Elementi | Kriptoni |
Alama | Kr |
Namba atomia | 36 |
Mfululizo safu | Gesi adimu |
Uzani atomia | 83.79 |
Kiwango cha kuyeyuka | 115.79 K (-157.36°C) |
Kiwango cha kuchemka | 119.93 K (-153.22 °C) |
Asilimia za ganda la dunia | % |
Hali maada | gesi |
Kriptoni (kut. kigiriki κρυπτός kriptos kwa sababu haikuwa rahisi kuitambua) ni elementi yenye namba atomia 36 kwenye mfumo radidia na uzani wa atomi 83.79. Alama yake ni Kr.
Ni elementi haba sana yapatikana kwa kiasi kidogo katika angahewa kama gesi adimu na bwete isiyo na rangi wala ladha.
Matumizi yake ni hasa katika aina mbalimbali za taa kwa sababu inasaidia balbu kuwa na mwanga mweupe zaidi.
Makala hiyo kuhusu "Kriptoni" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kriptoni kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |