Katiba
Kutoka Wikipedia
Katiba ni sheria au kanuni zinazoanisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shuguli zao. Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huanisha haki za msingi za wananchi.
Makala hiyo kuhusu "Katiba" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Katiba kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |