Web Analytics Made Easy - Statcounter

See also ebooksgratis.com: no banners, no cookies, totally FREE.

CLASSICISTRANIERI HOME PAGE - YOUTUBE CHANNEL
Privacy Policy Cookie Policy Terms and Conditions
Harare - Wikipedia

Harare

Kutoka Wikipedia

Harare inavyoonekana kutoka kilima cha Kopje
Harare inavyoonekana kutoka kilima cha Kopje
Map of Zimbabwe with the province highlighted

Harare (zamani: Salisbury) ni mji mkuu wa Zimbabwe pia mji mkubwa nchini ikiwa kwenye kimo cha 1,500m juu ya UB. Idadi ya wakazi imekadiriwa kufika 1,600,000, pamoja na mitaa ya nje hadi 2,800,000. Harare ni kitovu cha utawala pia cha uchumi nchini. Mtaa wa nje ulio mkubwa ni Chitungwiza yenye wakazi 340,000 kusini ya uwanja wa ndege wa kimataifa.

[hariri] Historia

Mji ulianzishwa mwaka 1890 BK kama kambi la jeshi la binafsi la Cecil Rhodes. Tangu kuwa makao ya kudumu mji ulipewa jina la Salisbury kutokana na Lord Salisbury aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza miaka ile akamsaidia Cecil Rhodes kazika mipango yake ya kupanusha ukoloni katika Afrika ya Kusini. Salisbury ilipata cheo cha mji mwaka 1935 ikawa mji mkuu wa Maungano ya Rhodesia na Unyasa mwaka 1953 hadi 1963.

Baada ya uhuru wa Zimbabwe jina la Salisbury ilibadilishwa mwaka 1982 kwa heshima ya chifu wa Washona Neharawa kuwa Harare.

Tangu 2002 mji uliathiriwa vibaya na matatizo ya kisiasa nchini Zimbabwe. Vyama vya upinzani vilipata kura nyingi mjini kushinda serikali ya Robert Mugabe katika chaguzi za kisiasa. Serikali ikalipiza kisasi kwa kufuta Halmashauri ya Mji. Mwaka 2005 serikali ilibomoa mitaa ya vibanda katika kempeni ya Operation Murambatsvina (Mradi wa "kuondoa takataka"). Lakhi za watu walifukuzwa katika nyumba zao na biashara zao zikabomolewa. Wapinzani waliona kempeni hii kama jaribio la kupunguza idadi ya wafuasi wa upinzani katika mji mkuu.


aa - ab - af - ak - als - am - an - ang - ar - arc - as - ast - av - ay - az - ba - bar - bat_smg - bcl - be - be_x_old - bg - bh - bi - bm - bn - bo - bpy - br - bs - bug - bxr - ca - cbk_zam - cdo - ce - ceb - ch - cho - chr - chy - co - cr - crh - cs - csb - cu - cv - cy - da - de - diq - dsb - dv - dz - ee - el - eml - en - eo - es - et - eu - ext - fa - ff - fi - fiu_vro - fj - fo - fr - frp - fur - fy - ga - gan - gd - gl - glk - gn - got - gu - gv - ha - hak - haw - he - hi - hif - ho - hr - hsb - ht - hu - hy - hz - ia - id - ie - ig - ii - ik - ilo - io - is - it - iu - ja - jbo - jv - ka - kaa - kab - kg - ki - kj - kk - kl - km - kn - ko - kr - ks - ksh - ku - kv - kw - ky - la - lad - lb - lbe - lg - li - lij - lmo - ln - lo - lt - lv - map_bms - mdf - mg - mh - mi - mk - ml - mn - mo - mr - mt - mus - my - myv - mzn - na - nah - nap - nds - nds_nl - ne - new - ng - nl - nn - no - nov - nrm - nv - ny - oc - om - or - os - pa - pag - pam - pap - pdc - pi - pih - pl - pms - ps - pt - qu - quality - rm - rmy - rn - ro - roa_rup - roa_tara - ru - rw - sa - sah - sc - scn - sco - sd - se - sg - sh - si - simple - sk - sl - sm - sn - so - sr - srn - ss - st - stq - su - sv - sw - szl - ta - te - tet - tg - th - ti - tk - tl - tlh - tn - to - tpi - tr - ts - tt - tum - tw - ty - udm - ug - uk - ur - uz - ve - vec - vi - vls - vo - wa - war - wo - wuu - xal - xh - yi - yo - za - zea - zh - zh_classical - zh_min_nan - zh_yue - zu -