Commodus
Kutoka Wikipedia
Lucius Aurelius Commodus (31 Agosti, 161 – 31 Desemba, 192) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 18 Machi, 180 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Marcus Aurelius.
Makala hiyo kuhusu "Commodus" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Commodus kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |