1898
Kutoka Wikipedia
Miaka: | 1895 1896 1897 - 1898 - 1899 1900 1901 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 26 Aprili - Vicente Aleixandre (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1977)
- 29 Julai - Isidor Rabi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1944
- 24 Agosti - Albert Claude (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974)
- 24 Septemba - Howard Walter Florey (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1945)
- 26 Septemba - George Gershwin (mtungaji wa muziki Mmarekani)
- 26 Novemba - Karl Ziegler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1963)