Willis Lamb
Kutoka Wikipedia
Willis Eugene Lamb (amezaliwa 12 Julai, 1913) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usumaku wa atomu na kuboresha nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1955, pamoja na Polykarp Kusch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.