Saint-Pierre na Miquelon
Kutoka Wikipedia
Saint-Pierre and Miquelon (Kifaransa: Saint-Pierre-et-Miquelon) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa (Collectivité d'outre mer) ambalo ni funguvisiwa mbele ya pwani la Kanada katika Atlantiki.
Visiwa vikubwa zaidi ni Saint-Pierre (26 km²), Miquelon (110 km²), Langlade (91 km²) shalafu visiwa vingine vidogo vyenye eno la jumla 242 km². Miquelon na Langlade vilikuwa visiwa viwili lakini leo vimeungwa kwa kanda ya nchi kavu vyaitwa pamoja kama "Miquelon".
Jumla ya wakazi ni watu 6,316 (Saint-Pierre: wakazi 5.618, Miquelon na Langlade: wakazi 698).
Visiwa hii ni mabaki ya koloni kubwa ya zamani iliyoitwa "Nouvelle-France" (Ufaransa Mpya) na kuenea katika Kanada.
[hariri] Viungo vya Nje
- Official tourism website for St Pierre and Miquelon
- Tourism ressources and information
- Le Phare: Association of Tourism Professionals